WAMEANZA KUNILETEA WAGANGA 'BONDIA KARIMU MANDONGA'

 




Bondia wa Mchezo wa Ngumi nchini Tanzania Karimu Mandonga aliyejizolea Umaalufu mkubwa kutokana na tambwe zake za kuwatisha wenzake kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo haijalishi kashinda au kashindwa,Sasa siku za hivi karibuni kuna pambano liliandaliwa na Mo green kutoka mwanza aliaandaa pambano lilowakutanisha Mabondia kutoka sehemu mbalimbali hadi nje ya nchi kwa maana ya Uganda (Golola) na Sauzi Afrika  (Asemahle Wellem pambano
Baada ya kupoteza anadai sasa waandaaji wanamletea waganga

Comments

Popular posts from this blog

ECOWAS, Umoja wa Afrika zakashifu jaribio la kupindua serikali Niger,Katika taarifa ECOWAS imetaka waliopanga majaribio ya mapinduzi ya serikali wamuachilie huru rais

Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023