Posts

WAMEANZA KUNILETEA WAGANGA 'BONDIA KARIMU MANDONGA'

Image
  Bondia wa Mchezo wa Ngumi nchini Tanzania Karimu Mandonga aliyejizolea Umaalufu mkubwa kutokana na tambwe zake za kuwatisha wenzake kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo haijalishi kashinda au kashindwa,Sasa siku za hivi karibuni kuna pambano liliandaliwa na Mo green kutoka mwanza aliaandaa pambano lilowakutanisha Mabondia kutoka sehemu mbalimbali hadi nje ya nchi kwa maana ya Uganda (Golola) na Sauzi Afrika  ( Asemahle Wellem pambano Baada ya kupoteza anadai sasa waandaaji wanamletea waganga

ANAPUMUMLIA MAPAFU YA CHUMA KWA MIAKA 70

Image
  Waliosema kabla hujafa hujaumbika wala hawakukosea, kwa sababu wapo watu wengi tunawafahamu walikuwa wazima lakini sasa hawana baadhi ya viungo, huku wengine wakiwa kitandani hawawezi kufanya kitu chochote. Leo hii mfahamu mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jila la Paul Alexander, wenye umri wa miaka 77 amevunja record ya kuishi zaidi miaka 70 kwenye pafu la chuma. Paul aliugua Polio akiwa na umri wa miaka 6 mwaka 1952 ambao ugonjwa huo ulimpelekea kupooza na mapafu yake kuharibika hivyo hulazimaki kutumia kifaa cha chuma kwaajili ya upumuaji (Iron Lung). Licha ya wengi kutokuwa na imani kama ataishi muda mrefu, lakini Paul hakukata tamaa ndipo mwaka 2020 aliandika kitabu, kilichoelezea maisha yake kwenye mapafu ya chuma, haikuwa rahisi kwani alitumia miaka mitano hadi kukamilisha kitabu hicho, na kila neno aliliandika yeye mwenyewe bila kutegemea usaidizi wa mtu. Kifaa alichotumia kuandikia kitabu hicho ni kalamu iliyounganishwa kwenye fimbo, na alitumia mdo...

MAGAZETI YA TANZANIA 27 JULAI 2023

Image
 

ECOWAS, Umoja wa Afrika zakashifu jaribio la kupindua serikali Niger,Katika taarifa ECOWAS imetaka waliopanga majaribio ya mapinduzi ya serikali wamuachilie huru rais

Image
  Mamlaka ya ECOWAS linasema imepokea habari za jaribio la mapinduzi nchini Niger "kwa mshtuko". Katika taarifa iliyotoa ECOWAS, muungano wa nchi za Afrika magharibi imesema " ina laani vikali jaribio la kunyakua mamlaka kwa nguvu na kutoa wito kwa wapanga mapinduzi ya kijeshi kumwachilia huru rais (Mohamed Bazoum) aliyechaguliwa kidemokrasia mara moja na bila masharti." Imetishia kuwa waliopanga njama watawajibika kwa usalama wa rais na wajumbe wa serikali na familia ya rais. Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat, amelaani vikali kile alichosema kilionekana kuwa jaribio la mapinduzi nchini Niger na kuwataka wanajeshi "wahaini" waliohusika kusita mara moja.

🔴TANGAZO :ASTERIA JOHN KUJA NA UZINDUZI WA ALBAM YA ZAMU YANGU

Image
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutokea mwanza aliyetamba na vibao vyake vikali kama vile Tulia,Hubadili nk  Sasa anakuja na Albamu yake mpya iliyoipa jina la ZAMU YANGU anataajia kuizindua siku ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 28.08.2023 ndani ya jiji la mwanza kwenye Ukumbi wa gandhi Hall kuanzia saa moja jioni,Hakuna kiingilio waimbaji mbalimbali watajuwepo kwa Taarifa zaidi wasiliana na Mratibu wa tukio hili 0654 036 146

Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023

Image
  RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA OR- TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati. Angellah Kairuki Waziri wa Nchi - OR TAMISEMI 12.04.2023. BOFYA HIYO LINK CHINI KUONA MAJINA YA AFYA https://www.tamisemi.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Ajira_Mpya_walimu_compressed_compressed.pdf