Posts

Showing posts from August, 2023

MGOMBEA WA URAISI WA ECOUDOR AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Image
  Fernando Villavicencio Mgombea wa uraisi wa Ecoudor  Fernando Villavicencio ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiye julikana wakati wa kumaliza kapeni zake na ni wiki chache tu kuelekea Uchaguzi unao tarajiwa kufanyika tarehe 20.08.2023