MGOMBEA WA URAISI WA ECOUDOR AUAWA KWA KUPIGWA RISASI
Fernando Villavicencio
Mgombea wa uraisi wa Ecoudor Fernando Villavicencio ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiye julikana wakati wa kumaliza kapeni zake na ni wiki chache tu kuelekea Uchaguzi unao tarajiwa kufanyika tarehe 20.08.2023

Comments
Post a Comment