WAMEANZA KUNILETEA WAGANGA 'BONDIA KARIMU MANDONGA'
Bondia wa Mchezo wa Ngumi nchini Tanzania Karimu Mandonga aliyejizolea Umaalufu mkubwa kutokana na tambwe zake za kuwatisha wenzake kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo haijalishi kashinda au kashindwa,Sasa siku za hivi karibuni kuna pambano liliandaliwa na Mo green kutoka mwanza aliaandaa pambano lilowakutanisha Mabondia kutoka sehemu mbalimbali hadi nje ya nchi kwa maana ya Uganda (Golola) na Sauzi Afrika ( Asemahle Wellem pambano Baada ya kupoteza anadai sasa waandaaji wanamletea waganga