Popular posts from this blog
ECOWAS, Umoja wa Afrika zakashifu jaribio la kupindua serikali Niger,Katika taarifa ECOWAS imetaka waliopanga majaribio ya mapinduzi ya serikali wamuachilie huru rais
Mamlaka ya ECOWAS linasema imepokea habari za jaribio la mapinduzi nchini Niger "kwa mshtuko". Katika taarifa iliyotoa ECOWAS, muungano wa nchi za Afrika magharibi imesema " ina laani vikali jaribio la kunyakua mamlaka kwa nguvu na kutoa wito kwa wapanga mapinduzi ya kijeshi kumwachilia huru rais (Mohamed Bazoum) aliyechaguliwa kidemokrasia mara moja na bila masharti." Imetishia kuwa waliopanga njama watawajibika kwa usalama wa rais na wajumbe wa serikali na familia ya rais. Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat, amelaani vikali kile alichosema kilionekana kuwa jaribio la mapinduzi nchini Niger na kuwataka wanajeshi "wahaini" waliohusika kusita mara moja.
Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023
RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA OR- TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati. Angellah Kairuki Waziri wa Nchi - OR TAMISEMI 12.04.2023. BOFYA HIYO LINK CHINI KUONA MAJINA YA AFYA https://www.tamisemi.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/Ajira_Mpya_walimu_compressed_compressed.pdf












Comments
Post a Comment