🔴TANGAZO :ASTERIA JOHN KUJA NA UZINDUZI WA ALBAM YA ZAMU YANGU
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutokea mwanza aliyetamba na vibao vyake vikali kama vile Tulia,Hubadili nk
Sasa anakuja na Albamu yake mpya iliyoipa jina la ZAMU YANGU anataajia kuizindua siku ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 28.08.2023 ndani ya jiji la mwanza kwenye Ukumbi wa gandhi Hall kuanzia saa moja jioni,Hakuna kiingilio waimbaji mbalimbali watajuwepo
kwa Taarifa zaidi wasiliana na Mratibu wa tukio hili 0654 036 146


Any comments
ReplyDelete