Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023
RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA
OR- TAMISEMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati.
Angellah Kairuki
Waziri wa Nchi - OR TAMISEMI
12.04.2023. BOFYA HIYO LINK CHINI KUONA MAJINA YA AFYA

Comments
Post a Comment